Ukombozi wa Mwisho

Ukombozi wa Mwisho

Muhtasari

Yaweza kuonekana kana kwamba mateso yataendelea kuwepo milele, lakini Bwana Yesu Kristo alisema kuwa yataisha siku moja. Aliahidi kurejea katika dunia hii kuwachukua watu wake na kuwapeleka mahali panapoitwapo "Ufalme wa Mbinguni". Katika sehemu hii ya kipekee, hakuna huzuni, hakuna kifo, na hakuna mizunguko ya kuzaliwa tena. Tutaishi milele na Mungu Muumba! Kitini hiki kinatuambia jinsi tunavyoweza kujiandaa kwa ajili ya ukombozi wetu wa mwisho.

Pakua

Jisajili kwa ajili ya jarida letu

Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka

newsletter-cover