Kupata Maana Maishani

Kupata Maana Maishani

Muhtasari

Maisha yanaweza kuonekana hayana maana bila kuwa na tafakuri pana. Katika kitini hiki, Petro anatafakari maana ya maisha baada ya kuwapoteza wapendwa wake na kustahimili mapambano ya sonona ya muda mrefu. Anajikuta akivutiwa na uzuri na mpangilio wa ulimwengu. Je, yawezekana kwamba usanifu wa hali ya juu mno wa ulimwengu unatoka kwa Msanifu? Petro anatafakari juu ya matokeo ya kuwepo ambayo Usanifu wa Hali ya Juu angekuwa nayo katika moyo wake.

Aina

Kijitabu

Mchapishaji

Sharing Hope Publication

Inapatikana katika

10 Lugha

Kurasa

6

Pakua

Jisajili kwa ajili ya jarida letu

Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka

newsletter-cover