Kuyaelewa Mateso

Kuyaelewa Mateso

Muhtasari

Watu wengi leo wanapitia mateso na unyanyasaji. Yesu aliishi katika maisha yenye mateso, pia. Aliwasaidia wengine, aliwaponya, na kuwafundisha njia iliyo bora. Watu wengine walimchukia na kumuua, ila baada ya siku tatu, alifufuka na kurejea mbinguni kwa Baba Yake. Kitini hiki kinasimulia tena kwa ufupi juu ya maisha na mateso ya Yesu, hali kadhalika ahadi Yake ya kuponya mioyo yetu iliyovunjika.

Pakua

Jisajili kwa ajili ya jarida letu

Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka

newsletter-cover