Haki Kwa Watu wa Mungu

Haki Kwa Watu wa Mungu

Muhtasari

Kwa karne nyingi, Wayahudi wamesherehekea Siku ya Upatanisho Sherehe hii inatukumbusha kwamba kutakuwa na haki kwa watu wa Mungu mwishoni. Lakini ni rahisi kusahau maana ya ibada hii, au kutegemea utambulisho wa kidini ili kutupitisha salama katika hukumu. Hata hivyo, kitini hiki kinatukumbusha kwamba hukumu ni mwaliko wenye taadhima wa kukutana na Mungu na kuandaa mioyo yetu mbele zake

Aina

Kijitabu

Mchapishaji

Sharing Hope Publication

Inapatikana katika

5 Lugha

Kurasa

6

Pakua

Jisajili kwa ajili ya jarida letu

Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka

newsletter-cover