Haki Kwa Maumivu Yangu

Haki Kwa Maumivu Yangu

Muhtasari

Mateso hayatadumu milele. Kitini hiki kinaeleza juu ya mhanga wa ubakaji aliyekuwa akihangaika wakati akitafakari juu ya hukumu ya mwisho ambayo Mungu Muumba ataleta kwa waovu. Kinaelezea jinsi ambavyo Yesu aliwahukumu viongozi wanafiki na kuahidi hukumu kwa manufaa ya wale ambao wameteseka. Lakini ikiwa sisi wenyewe tumefanya makosa, kuna njia pia ambayo kwayo tunaweza kusamehewa kupitia kwa mateso ambayo Bwana Yesu Kristo aliyastahimili kwa ajili yetu.

Aina

Kijitabu

Mchapishaji

Sharing Hope Publication

Inapatikana katika

7 Lugha

Kurasa

6

Pakua

Jisajili kwa ajili ya jarida letu

Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka

newsletter-cover