Usalama Dhidi ya Pepo Wachafu

Usalama Dhidi ya Pepo Wachafu

Muhtasari

Pepo wachafu wapo na ni halisi, na wanaweza kuogofya mno. Watu wengine wanadai kuwa na nguvu kubwa dhidi ya pepo, lakini wanataka tuwalipe kabla ya kutusaidia. Yesu Kristo alikuwa na nguvu za kuwafunga na kuwatoa pepo, lakini kamwe hakudai malipo. Daima aliwasaidia watu bila malipo yoyote kwa sababu amejaa huruma, na kwa sababu Yeye, pia, anaumia kuona pepo wachafu wakitusumbua. Kitini hiki kinatueleza juu ya chanzo cha maovu na jinsi ya kumwomba Yesu kwa ajili ya kutuokoa dhidi ya mapepo.

Pakua

Jisajili kwa ajili ya jarida letu

Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka

newsletter-cover