Je, Yesu Anaweza Kusaidia?
Muhtasari
Sote tunakabiliwa na matatizo katika maisha yetu ambayo hatuwezi kuyatatua wenyewe. Nyakati zingine tunadhani kwamba hakuna anayejua maumivu yetu, lakini Mungu anayajua yote. Alimtuma Mwanawe, Yesu, akiwa na mpango wa kutusaidia kuondokana kabisa na mateso. Visa hivi vitatu vinawaelezea watu halisi wenye shida halisi waliomgeukia Yesu ili awasaidie. Hakuna miongoni mwao aliyekuwa na ufahamu mkubwa juu ya Yesu kwa wakati huo, lakini baada ya kuwasaidia, walitaka kumjua zaidi. Kitini hiki kinatufundisha jinsi ya kuomba ili tumweleze Yesu matatizo yetu. Atatusaidia nasi, pia!
Aina
Kijitabu
Mchapishaji
Sharing Hope Publication
Inapatikana katika
12 Lugha
Kurasa
6
Pakua
Jisajili kwa ajili ya jarida letu
Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka
Tafuta Hadhira Yako
Machapisho Yaliyoangaziwa
© 2023 Sharing Hope Publications