Kuzishinda Hasira

Kuzishinda Hasira

Muhtasari

Kila mmoja hupatwa na hasira — lakini kama tutang'ang'ania hasira zetu, zinaweza kutuangamiza. Kitini hiki kinasimulia kisa cha mtu ambaye maisha yake yalibadilika kutokana na kujifunza jinsi ambavyo Yesu aliwasamehe watu wengine— hata wale waliomuua. Kama tukimfuata Yesu, atatubadilisha na kutufanya tufanane Naye zaidi. Ataondoa hasira na uchungu wetu ili maisha yetu yampe Mungu utukufu.

Pakua

Jisajili kwa ajili ya jarida letu

Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka

newsletter-cover