Tumaini Ng'ambo ya Kifo

Tumaini Ng'ambo ya Kifo

Muhtasari

Kifo kipo kote ulimwenguni, lakini si rahisi kukikubali. Kwa nini? Kwa kuwa Mungu aliumba wanadamu ili waishi milele. Lakini dhambi ilipoingia ulimwenguni, kifo kikaja, pia. Je Mungu ataruhusu uovu ushinde, au je, kuna kitu kama ufufuo wa wafu? Watu wengi wanahisi kuwa kifo ndio mwisho. Ingawa, wazee wa imani na manabii wote wameandika juu ya wakati ambapo Mungu atawafufua wafu na kuwapatia uzima wa milele. Kitini hiki kinatueleza kwa muhtasari juu ya kile kitakachotokea wakati huo.

Aina

Kijitabu

Mchapishaji

Sharing Hope Publication

Inapatikana katika

5 Lugha

Kurasa

6

Pakua

Jisajili kwa ajili ya jarida letu

Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka

newsletter-cover