Shqipاَلْعَرَبِيَّةُঅসমীয়াবাংলা简体字正體字ČeštinaNederlandsEnglishÈʋeFrançaisFulfuldeGaroDeutschHausaעבריתहिन्दीIgboIndonesiaItaliano日本語Tamaziɣtಕನ್ನಡKhasiភាសាខ្មែរ한국어سۆرانیພາສາລາວMelayuമലയാളംमराठीмонголMooréनेपालीپښتوفارسیPolskiPortuguêsРусскийကညီကျိာ်ᱥᱟᱱᱛᱟᱲᱤසිංහලAf-SoomaaliEspañolBasa SundaKiswahiliТоҷикӣதமிழ்తెలుగుไทยབོད་སྐད་TürkçeAkan-TwiУкраїнськаئۇيغۇرTiếng ViệtWollofYorùbá
Hivi ni Kweli Wayahudi Walimuua Yesu?
Muhtasari
Kwa karne nyingi, Wayahudi wamekabiliwa na lawama na chuki zilizoenea kwa sababu inasemekana kuwa walimuua Yesu, Mnazareti. Lakini, je, hiki ndicho kisa chote? Yesu alikuwa Myahudi, na aliwapenda Wayahudi. Umati mkubwa wa waumini wa Kiyahudi walimfuata katika maisha yake. Ni nini hasa kilitokea katika kifo chake? Je, aliuawa, au alijitoa kafara? Na, je, Yesu mwenyewe alisema nini juu ya wale waliotamani auawe? Kitini hiki kinatafiti baadhi ya matokeo yasiyotarajiwa kuhusiana na chanzo halisi na maana ya kifo cha Yesu.
Aina
Kijitabu
Mchapishaji
Sharing Hope Publication
Inapatikana katika
5 Lugha
Kurasa
6
Pakua
Jisajili kwa ajili ya jarida letu
Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka
Tafuta Hadhira Yako
Machapisho Yaliyoangaziwa
© 2023 Sharing Hope Publications