Je, Ulimwengu Utaishaje Hasa?

Je, Ulimwengu Utaishaje Hasa?

Muhtasari

Jamii ya wanasayansi ina mapendekezo mengi kuhusu jinsi dunia itakavyofikia mwisho. Hata hivyo, hii miundo inayobashiriwa ina mapungufu yake. Huenda ikafaa zaidi kuchanganua utabiri unaotolewa katika Biblia, ambayo ina kumbukumbu ndefu na ya kihistoria inayoweza kuthibitishwa ya unabii uliotimizwa. Kitini hiki kina orodha ya kipekee ya unabii wa Biblia uliotimia na kinaelezea tukio la mwisho ambalo linakuja: mwisho wa dunia.

Pakua

Jisajili kwa ajili ya jarida letu

Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka

newsletter-cover