Kutafuta Maisha Marefu

Kutafuta Maisha Marefu

Muhtasari

Wanadamu wamejaribu daima kuepuka au kuahirisha kifo. Na bado, kifo kinampata kila mmoja wetu, na kututwaa milele. Au, sio? Kitabu cha kale kinaeleza njia ya kuongeza urefu wa maisha yetu hata kuvuka kile kinachoahidiwa na maendeleo katika tiba na majaribio ya kuhifadhi miili ya wafu katika majokofu. Ikiwa madai ya "uzima wa milele" yalikuwa na nafasi hata ya 1% ya kuwa kweli, je, haingefaa kuyachunguza?

Aina

Kijitabu

Mchapishaji

Sharing Hope Publication

Inapatikana katika

10 Lugha

Kurasa

6

Pakua

Jisajili kwa ajili ya jarida letu

Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka

newsletter-cover