Watu Maalumu wa Mungu

Watu Maalumu wa Mungu

Muhtasari

Bwana Yesu Kristo alituambia jinsi ambavyo atauumba upya ulimwengu katika zama zijazo. Watu wake maalumu wataishi pale milele. Je, watu hawa maalumu ni akina nani? Biblia inawaita "Masalio." Kitini hiki kinatupa maelezo mafupi juu ya masalio na kinatueleza juu ya tukio ambalo wote wana shauku ya kuliona.

Pakua

Jisajili kwa ajili ya jarida letu

Kuwa wa kwanza kujua pale machapisho mapya yanapotoka

newsletter-cover